Monday, January 14, 2013

Lengo

Lengo kubwa la Blog hii ni kuoonesha fahari zetu watanzania na jinsi tunavyozikubali na kuzifurahia. Tutaongelea na kuonyesha tamaduni mbali mbali za makabila, mali asili zetu, ukarimu wetu na undugu wetu. Karibu ndugu zangu katika harakati za kukuza na kuimarisha uzalendo

No comments:

Post a Comment